Jumatano, 8 Juni 2016

VODAFONE 695

VODAFONE VF 695 

SLOT HAS BEEN LOCKED PERMANENT

SOLVED
iwapo ikiwa simu yako inatumia line moja, uwenda simu ni vodafone au vinginevyo ,ukiweka line huwa inatoa namba ambazo zipo locked na kampuni kwa mazumuni flani
ivo hutakiwi kujaribu maana utakuwa umeilock simu moja kwa moja sasa kwa wale wanaojiingizia namba bila kufahamu upo msaada kwao.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni